Wewe, mwandaaji
- Ingia kwa akaunti yako ya Fika
- Skani kadi, au mtafute mgeni kwa jina umpokee
- Rudisha skani iliyofanywa kwa makosa
- Ona waliofika na ambao hawajafika, papo hapo
Programu ya simu ya Fika
Skani QR code kwenye kadi ya mwaliko ya kila mgeni na Fika itamruhusu kuingia, itahesabu waliofika, na kuzuia kadi kutumika mara mbili. Wewe na wasaidizi wako mnaskani kwa simu zenu; tovuti inaonyesha waliofika.
Inaskani
Neema & Baraka
Asha Mushi ameingia
Wengine 4 wanaweza kuingia kwa kadi hii
Pata Fika kwenye Google Play. Programu ya iPhone inakuja hivi karibuni.
Waandaaji huingia kwa akaunti yao ya Fika. Wasaidizi hawahitaji akaunti: huandika namba ya kuskani ya tukio.
Elekeza kamera kwenye QR code ya kadi ya mgeni. Kila skani humruhusu mtu mmoja kuingia, hadi idadi iliyo kwenye kadi.
Kadi huskaniwa kwa kamera ya simu, kwa hiyo tovuti haiskani. Kwenye tovuti unaona mahudhurio ya kila tukio: waliofika, ambao hawajafika, na watu wangapi wameingia. Hapo pia ndipo unapotengeneza namba ya kuskani ya wasaidizi.
Tayari kwa siku hiyo